Regina, kwa kile ambacho alikifanya Fionna, hakutaka tena kuzubaa hata kama aonekane anaingilia masuala ya kifamilia. Hivyo aliongea:
“Baba Kiha, Fionna bado hajapona vizuri hali yake ya sonona. Ukimchukua na kwenda kumfungia huko milimani, unaweza kutumia dawa za kila aina ila asiweze kupona. Na ikifikia wakati huo, unaweza kumpoteza,” aliongea Regina.
Mzee Kiha, mara baada ya kusikia hivyo, alionekana kuwa katika hali ya wasiwasi, lakini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments