Reader Settings

Hamza, mara baada ya kutoka eneo hilo, wanafunzi pia wa eneo hilo walimfuata nyuma. Ilibidi kwanza asimame na kuwaambia maneno machache ya ushauri, kisha kuwaruhusu waondoke.

Mara baada ya kuona hakuna mtu mwingine aliyekuwa karibu yake zaidi ya Chinga Bonge, aliongea:

“Bonge, haujachaguliwa na kujiunga na kitengo cha Sleeping Lions?”

“Yule Kamanda wa kitengo ananiona mimi ni muoga na nisiye na malengo. Kwa sababu hakutaka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next