Reader Settings

Chinga mara baada ya kuona kuwa Fionna alikuwepo, aliishia kusimama huku akionekana kushindwa kumwangalia usoni.

“Nini kinaendelea!?” aliuliza Hamza mara baada ya kuona Chinga alikuwa amefika na yule mwanamke aliyekuwa ameenda naye.

Yule mwanamke, aliyekuwa amejipaka vipodozi kupita kiasi, aliongea kwa lafudhi yake ya Kibena.

“Huyu ni rafiki yako?”

“Nini kimetokea?” aliuliza Hamza.

“Alitaka kuniua! Halafu eti ananipa elfu thelathini tu. Ameniambia amekuja na wewe …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next