Mara tu baada ya Hamza kuanza kutumia mbinu ile ya kundi la Nyota Saba dhidi ya muovu, ilisababisha watu ambao walitarajia kuona Hamza akijidhalilisha kujawa na mwonekano wa kushangaa.
Hususan kwa Gile na Chingu, ni kama vile walikuwa wakishuhudia mzimu.
Silaha ile mikononi mwake ilikuwa kana kwamba ni yake ya asili, na ilimfanya iwe kama sehemu ya kiungo chake cha mwili.
Kila hatua, kila miondoko, na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments