Watu wa kambi ya Nyumbanitu walionekana kupata uelewa mpya na kufanya macho yao kuchanua. Alichoongea Hamza waliona kilikuwa na mantiki. Wagunduzi wa sanaa hizo za mapigano hawakuziunda kwa ajili ya watu wengine, bali kwa ajili yao wenyewe.
Kujiunza mbinu za mtu siku zote si sawa na kuwaigizia tu. Na kama ni hivyo, utapanda vipi levo kama wenyewe hawakupanda?
Ilikuwa ni kama ilivyo kwa wasanii kama …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments