“Bi Fionna! Kwanini unaniangalia namna hiyo?” aliuliza Hamza aliyekuwa akitafuna chakula.
“Nataka kujua kama umeweza kujifunza hiyo mbinu ya silaha ya hiari?”
“Nawezaje kujifunza kirahisi hivyo? Ina mkanganyiko mkubwa mno na nimeshindwa kabisa kupata viashiria. Nimeweza kukariri tu baadhi ya mambo.”
“Oh... Huna haja ya kuwa na wasiwasi, watu wote wa kambi hakuna ambaye amefanikiwa kuibobea. Babu alijifunza tokea akiwa mdogo lakini aliweza kujua kidogo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments