SEHEMU YA 277.
Fionna
Mara baada ya kurudi kutoka kisiwani , Regina aliandaa taratibu za kuuhifadhi mwili wa Lamla siku inayofuata.
Regina mudi yake ilikuwa chini mno , kiasi kwamba alikuwa ameshasahau kama siku inayofuata ilikuwa ni Valentine day(Siku ya Wapendanao).
Hamza alitaka kumwambia mwanamke huyo kuhusu zawadi aliomwandalia , lakini kutokana na mudi aliokuwa nayo aliona sio muda sahihi, na kuona ngoja atamwambia siku …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments