Reader Settings

Wote, Afande Kiha na Hamza, walianza kukimbia kuelekea upande ambako moto unatokea. Hata hivyo, Hamza ghafla alisimama baada ya kuhisi kuna kitu hakipo sawa.

“Kiongozi, Fionna yupo ndani ya chumba chake?” aliuliza Hamza.

“Ndio, atakuwa… kwanini—” Afande Kiha aliishia kuuliza hilo swali, na alipojaribu kulifikiria mara ya pili, alijikuta akiuelewa ukweli.

“Kama kweli ni huyo Gwiza na mpango wake ulikuwa kuua watu, kwanini ghafla tu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next