Reader Settings

SEHEMU YA 278.

Mzee

Mara baada ya kusogelea mlango , mabodigadi wawili waliojazia miili walipanua mikono yao kuwazuia kwa mbele.

Mabodigadi waliokuwa pembeni hata wao walishika viuno vyao kutaka kuchomoa siraha walizoonekana kuficha.

“Who are you?”Aliongea bodigadi wa kizungu kwa lugha ya kingereza.

“I came to look for Fionna. I'm her friend. Today, we have an appointment for meal, you just need to ask her …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua