Hamza, kupitia hisia hizo tu, aliweza kujua kwamba asili ya nguvu za Gwiza zilitokana na nguvu hasi zilizouvaa moyo wake.
Alikuwa akisikia hali ya manung’uniko katika nguvu hiyo ya Gwiza—kulalamikia ulimwengu kwa kumsaliti—na ni nguvu pekee ya asili inayoweza kuponya moyo wake.
Shambulizi la kusudi la Gwiza halikuwa katika kukusanya nishati, bali lilikuwa ni nguvu ya mashambulizi ya hisia ambayo hushambulia nafsi.
“Bam!”
Hamza alijikuta …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments