Reader Settings

Regina, mara baada ya kusikia jibu hilo la Hamza, aliishia kutoa sauti ya "oh" na kisha akaendelea kuongea kwa sauti iliyojaa uchungu.

"Hubby, siku hizi hata haunitaki... Ni siku nyingi hata hujanipigia simu."

Hamza, mara baada ya kusikia hivyo, alijikuta akishikwa na haya kidogo, lakini alianza kujitetea pale pale.

"Kwanini nisikutake, mke wangu? Ni kwamba nilikuwa milimani huko nikijiifunza mafunzo ya mapigano, na hakukuwa na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next