Hamza, mara baada ya kufika nyumbani, aligundua Regina hakuwepo. Hata hivyo, alitegemea hilo — isitoshe, ilikuwa kawaida ya Regina kuwa kazini kwa muda huo.
Irene, mdogo wake, alikuwepo. Mrembo huyo alikuwa amevalia gauni fulani la rangi ya pinki lililomfika magotini, huku akiacha miguu yake mizuri wazi wazi, akijivunia si tu uzuri wake bali pia ujana wake.
Alikuwa amekaa eneo la sebuleni, akiwa amepandisha miguu yote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments