Hamza, kusikia kauli ya Chinga, alijikuta akiganda huku akimkodolea macho. Upande wa Regina, alishindwa kujizuia na kuangua kicheko.
Shangazi, yeye, alikuwa akitabasamu tu huku akimwangalia Chinga kwa macho ya furaha.
Hamza aliishia kuvuta tu pumzi na kisha akaongea.
“Kama hivyo ndivyo unavyoona, mimi ni nani hadi nipinge? Kwa kuweza kumfanya mke wangu acheke basi uwezo unao,” aliongea Hamza.
“Hubby, huyu Chinga kwa kutokuwa na aibu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments