MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA AROBAINI NA TANO
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Tukawa tumemaliza kula pamoja, na inaonekana hamu ya Bertha kula sana iliongezeka kwa kipindi hiki, maana alikula kingi mpaka ningehisi hilo tumbo lingeweza kupasuka. Ndiyo alikuwa kwenye zile hatua za juu zaidi wakati …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments