DOSARI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA SABA
★★★★★★★★★★★★★★★★★
Usiku huo huo, upande wa lile jengo dogo lililoachwa ukiwa msituni, ambako kundi la kufanya ualifu la Francis lilikuwa na kawaida ya kukutana, magari machache yalifika kwa nyakati tofauti ingawa si kwa kuachana sana, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments