Kibwana family ilikuwa ni jina linalotajwa kwa heshima nchini Tanzania walikua na ushawishi mkubwa sana nchini. Wakiwa na makazi Oysterbay, na sehemu nyingine za juu jijini Dar es Salaam jina la familia hiyo halikutamkwa hovyo hovyo. Ni jina lililokuwa na uzito — uzito wa fedha, historia, na heshima
Mzee Adil Kibwana, baba yake Andre, alikuwa ni mmoja wa waanzilishi wa kampuni kubwa ya ujenzi wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments