Wote mara baada ya kusikia sauti ya mwanaume aliyeita majina yao, haraka waligeuka na kuangalia upande wa nyuma.
“Ah! Bosi Abiud, Mrs Abiud, karibuni sana haha… mnaweza kuungana nasi hapa,” aliongea Mdosa huku akiwa na furaha kubwa, akiwa amesimama na mke wake Zilha.
Abiud ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Songa Group, mojawapo ya kampuni kubwa ndani ya Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, inayojihusisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments