Watu walianza kujiuliza, inakuwaje kigogo kama huyo aongee hadharani kuhusu kuvutiwa na Hamza? Na hata kuomba kukaa naye meza moja?
"Hakuna shida, lakini tatizo inaonekana meza yetu imejaa hapa," aliongea Hamza huku akiinua mabega.
Mara baada ya kusikia hivyo, Abiud na mke wake waliongea haraka haraka kwa wasiwasi.
"Hapana, hapana... sisi tutampisha Bosi Bakari."
Kama Mheshimiwa Bakari alitaka kuketi kwenye meza hiyo, hakuna mtu ambaye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments