“Nayrah sio jina langu la kuzaliwa ila hili nimejipa mimi mwenyewe na ndilo ambalo huwa nalitumia mtaani na watu wengi wananijia kwa jina hilo hawalijui kabisa jina langu halisi la kuzaliwa. Mimi kwa jina la kuzaliwa naitwa Nurryat Hashim, ni mzaliwa wa nyanda za juu kusini huko katika ardhi ya walima korosho, nilizaliwa kwenye moja ya familia ambazo zilikuwa na maisha bora sana tena sana, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments