“Ebu tazama namna ulimwengu ulivyokuwa umekosa huruma, angalia namna wanadamu walivyokuwa na roho za ajabu, kuna wakati hii dunia hata shetani mwenyewe nina uhakika anaiogopa, kuna watu wana roho za kutisha sana hata shetani mwenyewe anajifunza kwao. Nilimuonea huruma sana yule mzee, kupitia baba yangu nilipata somo kubwa sana kwamba wanaume wengi mno kuna mambo mazito sana ambayo huwa wanayapitia ila huwa wanaamua kuyafukia vifuani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments