“Niseme kwamba nashukuru sana wazazi wangu kunilea kwenye maadili yaliyokuwa bora na ndiyo yamenifanya mpaka nikakamilisha ndoto yangu ya kuweza kuusomea udaktrai ambao niliuota nikiwa tangu mdogo sana na nilitamani kuweza kuiishi ndoto hiyo siku zote. Pale tunapo ishi kwa pembeni kidogo kuna nyumba moja hivi ambayo yenyewe ni nzuri kiasi kuizidi nyumba yetu, kwenye ile nyumba alikuwa anaishi bibi mmoja ambaye alikuwa mara nyingi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments