Reader Settings

Alikuwa akitetemeka sana madam Yasinta kama alivyokuwa akipenda sana kujiita yeye lakini watu walikuwa wakimtambua kama peoples’ lawyer kutokana na tabia yake nzuri ya kupenda kusimama katika haki hususani kutetea haki za wale ambao walikuwa ni wanyonge sana, aliifunika laptop na kuizima simu yake haraka huku akiwa anatetemeka sana hakuelewa kwamba hatima ya maisha yake ingekuwaje mpaka wakati huo, alisogea kwenye dirisha na kufungua kidogo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next