Cambridge massachusetts, John F Kennedy Street
Ni maeneo ya Jirani na kilipo chuo ambacho kilianzishwa rasmi mwaka 1636 na kinadaiwa kuwa ndicho chuo bora zaidi kwenye historia ya ulimengu huu au dunia kwa ujumla kama sio kuwa miongoni mwa vyuo bora kabisa duniani, Havard University ndicho chuo ambacho nakizungumzia hapa ambacho kinapatikana katika eneo la Cambridge Massachusetts. Mwanadada Monalisa ambaye sisi tulimjua kama mpenzi wake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments