Majira ya usiku sana Jason alirudi mpaka sehemu alipokuwa akIpaita nyumbani kwao na ndipo palikuwa nyumbani kabisa kwa jaji mkuu Markvelous Japhary, hapo alipatambua na kujivunia kuwa ndiko nyumbani kwao ila kwa sasa jengo hilo lilikuwa lipo lenyewe likiwa linamwangalia yeye tu, hakukuwa na askari yeyote hilo eneo kwa sababu alikuwa amempa maagizo hayo IGP aweze kuwatoa watu hao maana hawakuwa kabisa na msaada wowote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments