Hamza hakutegemea Yulia angemwelewa vizuri kiasi hicho. Alijiambia kweli alikuwa ni mwanasayansi kichaa. Hata hivyo, mara baada ya kusikia maneno ya Regina, alishindwa kujua acheke ama alie.
Hamza aliishia kusimama, kisha alinyoosha mkono wake na kumshika Regina pua kwa namna ya upendo.
“Mke wangu, nilitaka kukuelezea siku ile, ila hukutaka nimalize. Isitoshe pia sikuona haja ya kuelezea kila kitu kwa sababu ninachokupatia mimi sio kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments