Reader Settings

Walinzi waliohusika kumlinda mzee huyo walijikuta wakipata mshituko mkubwa mara baada ya kusikia maelezo ya Hamza.

“Mr. Hamza, tafadhali kama uwezo unao, jaribu kumsaidia bosi wetu,” aliongea bodigadi.

“Vipi kuhusu nishati za mbingu na ardhi, haziwezi kuzuia kutotokwa na damu?” aliongea Mzee Ally mwenyewe kwa sauti dhaifu.

“Nishati za mbingu zinafanya kazi ikiwa mzunguko wa damu ni imara. Hata tukifanya hivyo, haiwezi kuzuia damu kutotoka. …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua