Reader Settings

Hamza hakuwa ametegemea swali hilo kutoka kwa Rhoda pia. Hata yeye mwanzoni alitaka kuuliza Afande Musiba yupo wapi, lakini hakujua kama Rhoda angeingilia mwenyewe.

“Kuhusu hili...” Afande Karume aliishia tu kumwangalia Hamza, akionekana kutaka maelezo.

“Ni moja ya dada zangu niliokuwa nao. Kuna kitu anataka kumuuliza Afande Musiba,” alijibu Hamza.

Mara baada ya Karume kusikia hivyo, aliishia kutingisha kichwa na kisha akasema:

“Kumbe ndio hivyo... …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next