Hamza aliingiza mkono kwenye koti lake, kisha akachomoa sigara na kuiweka mdomoni. Palepale, akanyoosha mkono kumpa ishara Nyakasura.
Nyakasura alionekana kumwangalia tu, lakini hata hivyo alinyoosha mkono wake na kushika sigara ile, ikashika moto.
Hamza, mara baada ya sigara yake kuwaka, alivuta pafu la moshi na kuutoa nje kwa kasi, kisha akasema,
“Ulichoongea kinaonekana kuwa na mantiki...”
“Nishakwambia mimi ni msema kweli,” mwanaume upande wa pili alijibu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments