Nyakasura, mara baada ya kuona mkono wake umekamatwa, aliishia kung’ata lipsi zake na kuongea kwa hasira:
“Nilitaka kukuamsha, naona umezubaa tu. Hivi unajua kadri unavyochelewa hata kwa dakika moja, huyo mshenzi anaweza kuua watu wengine zaidi? Kama kweli unataka kuona Madam akipumzika kwa amani, ondoka ukamkamate huyo hayawani na kumkata vipande vipande,” aliongea Nyakasura.
Hamza aliishia kurushia mbali mkono wa mwanamke huyo, kisha akaongea kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments