"Postman!"
Mara baada ya kusikia jina hilo, Afande Simba alionekana kushikwa na mshituko mkubwa.
"Nini tatizo, Afande Simba? Ushawahi kusikia kuhusu hilo jina?" aliuliza Hamza.
"Nishawahi kusikia, ndiyo. Ni suala ambalo lilitokea nje ya nchi miaka thelathini iliyopita, ndiyo maana sina taarifa nyingi. Inasemekana jina la Postman lilitokana na kuwa mfanyakazi wa posta ambaye alipata ukichaa...
Miaka ishirini iliyopita, kutokana na mageuzi makubwa ya teknolojia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments