Mnara baada ya wawili hao kutoka kwenye maabara, Nyakasura alipendekeza.
“Hey, unaonaje tukienda kuwaangalia hawa watoto hali zao kwanza?”
Nyakasura alikuwa akipenda watoto. Aliona kwamba kwa sababu alikuwa na jukumu la kumlinda Yulia masaa ishirini na nne, kama Yulia ataenda sehemu isiyomfurahisha, ataishia kuboreka.
“Sawa,” alijibu Yulia.
“Yulia, nilijua hupendi watoto. Nadhani nimekufikiria vibaya,” aliongea Nyakasura huku akicheka.
Yulia aliishia tu kutoa tabasamu jepesi, lakini moyo wake ulikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments