Hamza aliishia kuwaangalia watu waliokuwa humo ndani kwa macho ya kikauzu, kisha akasema:
“Unajua kujificha mno.”
“Umejuaje tupo hapa?” aliuliza Robert huku akikunja sura.
“Kama usingekuwepo hapa, isingekuwa na haja ya wanajeshi wako kujitoa uhai kulinda hili eneo. Vita ikishatokea, itashangaza kama Kamanda wa vita hayupo ofisini.”
Jenerali Robert aliishia kuvuta pumzi nyingi na kuzishusha, kisha akaongea:
“Lucifer, najua unachojaribu kutafuta, ila ngoja nikwambie… Sio …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments