Reader Settings

Ni dakika kumi zilizopita kwenye eneo la kulia chakula maarufu kama dining hall, ambalo lilitoa ushahidi wa ufahari ndani ya hoteli ya Cloud.

Alionekana Yulia, akinywa kimapozi kabisa kahawa huku akijivuta-vuta kivivu kuweka kiuno chake sawa pamoja na shingo.
Licha ya breakfast nzito iliyoandaliwa mbele yake, alionekana kutokuwa na hamu kabisa.

“Lazima itakuwa inachosha kukesha usiku mzima bila nguvu za nishati. Nyie wanasayansi mnapaswa kujifunza pia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next