Reader Settings

Hamza, mara baada ya kutoa pendekezo hilo, ili kumshawishi zaidi Airami, aliendelea kuongea.

“Kwasababu Postman alikamatwa na mtu wa Adept miaka thelathini iliyopita, lazima atakuwa na kinyongo na shirika lenu. Kama akitaka kulipa kisasi, itakuwa rahisi kama tukiunganisha nguvu.”

Hamza aliona kwamba kuendelea kubaki nchini kusingekuwa na manufaa yoyote, kwani uwezo wake ulishindwa kutumika moja kwa moja kwa mtu kama Postman. Hivyo, mbinu pekee ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next