“Sikuelewa tena kitu ambacho kilikuwa kimeendelea pale kwa sababu muda ule ule nilizimia baada ya kuhisi kizungu zungu kikali sana kwa maumivu ambayo nilikuwa nimeyapata kwenye kichwa changu. Nilishtuka nikiwa juu ya kitanda mkononi kwangu kukiwa na mipira ya kuongezea damu nikiwa natoa mwanga hafifu kwenye macho yangu nilikurupuka na kuita “Jason” jina lako ndilo kilikuwa kitu cha kwanza kabisa kunijia baada ya kurejesha fahamu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments