“Miaka mingi iliyoweza kupita niliwahi kupata mwaliko wa kidini kwenye nchi ya waitaliano na bahati iliyokuwa njema huko nilikuwa nina rafiki yangu mmoja ambaye tulisoma naye tukiwa wadogo yeye alikuwa anasomea upadri huko basi baada ya kusikia kwamba namimi nimeenda kwenye ile nchi alisema nisije nikaenda kule na nikaondoka kabla sijaonana naye. Sikuwa na namna kwa sababu ulikuwa umepita muda mrefu sana bila ya kuonana, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments