Jaiwelo Makupi Makubilo CDF wa nchi ya Tanzania alikuwa kwenye wakati mgumu sana, usiku kwa upande wake ulikuwa ni mgumu na mrefu sana, alijaribu mno kujilazimisha ili alale siku ipite lakini ilishindikana. Siku ya kesho yake alikuwa anasubiri kumpokea bintiye kipenzi ambaye alikuwa nje ya nchi akiisomea sheria ambayo aliahidi kwamba akirudi tu Tanzania basi ataanza kuifanyia kazi haraka sana, Asharose ndilo lilikuwa jina lake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments