Reader Settings

“Huko mbweni ni baridi sana hauhitaji hata feni”, ni moja ya mistari maarufu sana ambayo watu wengi hupenda kuitaja pale wanapokuwa wanaitaja Mbweni, huko ndiko kulikuwa nyumbani kwa Lusubilo Mtindiga, familia yake yote ilikuwa ikiishi huko na huko ndiko kulikuwa nyumbani kwake ambako mara nyingi asipokuwa na majukumu ya kazi alikuwa akipatikana, Jaiwelo Mkupi Makubilo alihitaji Kwenda huko baada ya kutoka Ikulu ili akakutane na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next