Jaiwelo Mkupi Makubilo alirudi nyumbani kwake akiwa mwenye hasira sana hakwenda makongo juu ambako ndiko alikuw anaishi, alienda na gari yake mpaka maeneo ya Ununio ambako kulikuwa na nyumba yake huko ambayo alikuwa anaenda kupumzika pale anapokuwa hayupo sawa au hataki usumbufu wowote kutoka kwa mtu yeyote yule, alipitiliza mpaka ndani na Kwenda kwenye kioo kikubwa sana alivua nguo zote na kujiangalia mbele ya kioo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments