Monalisa akiwa ndani ya gari mawazo yake yalikuwa mbali sana wakati amejiegesha kwenye ile siti, alikumbuka akiwa ndani ya nchi ya Marekani baada ya kutoka John F Kenedy street kwenye ile club kukutana na mwanaume ambaye alikuwa ni moja ya viongozi wake wa CIA (Central Intelligence Agency) aliivaa mask usoni baada ya kupanda kwenye pikipiki yake. Safari yake ilikuwa ni kuelekea sehemu ambayo aliifuatilia kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments