Reader Settings

Vyombo vya habari vilikuwa viko busy sana kuongelea jambo moja hata mtaani watu walikuwa wamejazana kila sehemu wakiwa wanaongelea jambo moja ambalo liliishtua nchi majira hayo ya asubuhi, kilichokuwa kimeleta taharuki yote hiyo ni makaratasi ambayo yalikuwa yamesambazwa na kubandikwa kila sehemu ndani ya jiji la Dar ndicho kitu ambacho kilizua hiyo taharuki kubwa sana ndani ya hili jiji, yalibandikwa kuanzia kwenye nguzo za umeme, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next