Hamza, mara baada ya kusikia taarifa hiyo, alijikuta akikunja sura na kisha akasema,
“Meli za kivita za jeshi la Marekani! Hili sio suala la kawaida, kwa sababu hakuna sababu ya meli zao kukaribia makao makuu ya Adept kiasi hicho bila sababu za msingi.”
Upande wa Airami aliishia kuonyesha hali ya wasiwasi, na palepale aliongea,
“Nimekusikia, tunatoka sasa hivi.”
Mara moja tu, Airami hakuwa na muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments