Reader Settings

Wakati milipuko hiyo ikitokea juu ya anga la kisiwa, upande wa waliokuwepo kwenye mahandaki walikuwa katika hali ya presha kubwa.

Karibia Adepts wote walining’iniza vichwa vyao kwa hali ya kukata tamaa. Isitoshe, asilimia kubwa walikuwa ndio kwanza wamejiunga na umoja huo, hivyo hawakuwa na uwezo mkubwa wa mapigano.

“Uwiii... jamani, mimi bado ni kijana na mwanamke mrembo. Sitaki kufia hapa mimi...”
Mwanamke Flower alipiga yowe la …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next