“Nitakupa upande nusu wa maisha yake huko kunako bakia siku ukikutana naye muulize yeye mwenyewe aweze kukuelezea, nitakwambia yale ambayo ni ya mhimu kumhusu yeye na kwanini yeye ndiye kiunganishi kwenye hiyo TOXIC akiwa anaiwakilisha herufi ya X na utajua kwanini kwamba bila yeye kazi inaweza kuanza na moja”
“Kama nilivyosema ni kwamba nimemlea mimi mwenyewe kwa mkono wangu, nimemkuza mwenyewe kwa mkono wangu, nimemsomesha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments