Makelele yalikuwa ni mengi sana ndani ya jiji la Dar es salaam kuhusiana na lile jambo ambalo lilikuwa limekutwa kwenye makaratasi ambayo yalikuwa yamesambazwa mtaani watu wengi waliunga mkono sana hizo hoja kwamba kwa watu waliokuwa wamehusika na hilo jambo basi hawakupaswa kabisa kuchekewa na kama kuna mtu atatokea kama ilivyo elekezwa kuwapa adhabu watu hao basi wananchi wangempa sapoti ya moja kwa moja mtu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments