Monalisa baada ya kufika eneo ambalo alikuwa ana uhakika kwamba palikuwa ni kwa baba yake kama walivyokuwa wametambulishana, alijinyoosha wakati huo mlango huo ulifunguliwa na bodguard wa baba yake ndiye ambaye alikuwa amekuja kumpotea, Slyvester ndiye alikuwa hapo huyu alikuwa bodguard wa John Mwituka ambaye alikuwa mchungaji wa kanisa la WITH GOD YES, WE CAN. Makazi ya mheshimiwa mchungaji yalikuwa umbali wa kilomita tano tu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments