Reader Settings

Asharose alikuwa na hasira sana kwani tangu afike Tanzania sio baba yake wala kaka yake ambaye alienda kumpokea wala kumpigia simu kama alikuwa amefika salama hivyo alijikuta anawachukia ghafla sana, siku hiyo hakutaka hata kufika nyumbani kwao tena baada ya kuona kama ndugu zake hao walikuwa hawamjali kabisa, sehemu ambayo aliamua Kwenda kupumzisha akili yake ilikuwa ni hotelini hapo aliona anaweza kumalizia hasira zake na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next