Reader Settings

Laurian Cosmas alikuwa amechanganyikiwa ndani ya kituo hicho cha runinga akiwa anaonekana kwenye matangazo ya moja kwa moja. Kauli yake ya kudai kwamba anataka kuuawa iliwatia wasiwasi wote ambao walikuwa humo ndani japo wengine walihisi kwamba huenda mtu huyo alikuwa ana matatizo ya akili. Kilicho washtua sana ni baada ya kutamka kwamba alikuwa anaomba msamaha kwa kuchukua mali za ndugu yake kwa nguvu na kudai …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next