Reader Settings

Mheshimiwa Lusubilo Mtindiga baada ya kutoka kwa ndugu yake CDF usiku huo ambao walikuwa wamegombana na kuwekeana visasi moyoni, alikuwa kwenye mwendo mkali sana majira hayo ya usiku kuwahi eneo ambalo aliambiwa kwamba alitakiwa Kwenda kueleza ukweli wa Jason ni nani hasa ili aweze kuondoka na mtoto wake akiwa salama maana yake kama angeenda kinyume na hicho ambacho alikuwa ameambiwa akifanye basi kulikuwa na nafasi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next