Kijana huyo ambaye alikuwa ni kanali wa jeshi baada ya kauli hizo za dhihaka kutoka kwa IGP alinyanyuka kwa hasira sana kwa sababu mzee huyo alikuwa anamchukulia kawaida mno, alihisi kwamba yeye alistahili kuipata heshima ambayo ilikuwa inaendana sawa sawa na cheo chake kilivyokuwa ila IGP kwake alimuona kama mbwa tu ambaye hakuwa na usemi wowote ule mbele ya bosi wake ambaye ndiye alikuwa mfuga …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments